Wakuu habari naomba anayefaham gereji ya KUNYOOSHA MAGARI ,Gari yangu aina ya Mazda CX 5 ,Nimepata nayo ajali hapa dsm nilikuwa namkwepa mtu kanifata akanikwagua na kusabisha kuangukia kwenye mtaro ,imebondeka na kioo Cha mbele kimevunjika.
Gari Ina bima kubwa hivyo natafuta msaada wa kulipeleka lifanyiwe mentanance nimewapelekea BOSCH wamesema hawataweza mwenye kujua gereji ya uhakika km una na mawasiliano nitashukuru
sent from HUAWEI