Msaada wa gereji bora ya kunyoosha magari Dar es Salaam

Msaada wa gereji bora ya kunyoosha magari Dar es Salaam

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,238
Reaction score
4,885
Wakuu habari naomba anayefaham gereji ya KUNYOOSHA MAGARI ,Gari yangu aina ya Mazda CX 5 ,Nimepata nayo ajali hapa dsm nilikuwa namkwepa mtu kanifata akanikwagua na kusabisha kuangukia kwenye mtaro ,imebondeka na kioo Cha mbele kimevunjika.

Gari Ina bima kubwa hivyo natafuta msaada wa kulipeleka lifanyiwe mentanance nimewapelekea BOSCH wamesema hawataweza mwenye kujua gereji ya uhakika km una na mawasiliano nitashukuru

sent from HUAWEI
View attachment 2179323View attachment 2179324View attachment 2179325View attachment 2179327View attachment 2179326
 
Wakuu habari naomba anayefaham gereji ya KUNYOOSHA MAGARI ,Gari yangu aina ya Mazda CX 5 ,Nimepata nayo ajali hapa dsm nilikuwa namkwepa mtu kanifata akanikwagua na kusabisha kuangukia kwenye mtaro ,imebondeka na kioo Cha mbele kimevunjika.

Gari Ina bima kubwa hivyo natafuta msaada wa kulipeleka lifanyiwe mentanance nimewapelekea BOSCH wamesema hawataweza mwenye kujua gereji ya uhakika km una na mawasiliano nitashukuru

sent from HUAWEI

Jaribu kuwacheki Automax wako Mikocheni
 
Pole sana, ngoja wajekukupa muongozo...
 
Kuna mtu yeyote anayefahamu gereji ya Kikorea au Kichina hapa jijini? Nina tatizo na gari langu la Kikorea nataka niwapelekee wenyewe walitengeneze, nimewachoka mafundi wa chini ya miembe kwani wana visingizio vya kijinga sana na mwisho wa siku unakuta hawajuwi kazi na wameshaliharibu gari lako.
 
Garagesiijui jina lakini ukifikirie pale shekilango Kama unaelekea kkooo upande wako was kushoto Kuna Shel pembeni ya hiyo sheli utaona yutong za newforce zipo hapo hao jamaa wanaweza Sana alaf pia waangalie nduvini autoparts ila Bei zao zipo juu sana
 
Back
Top Bottom