Smith Kiombo
Member
- Jun 15, 2023
- 28
- 45
Milioni 200
InategemeaMilioni 200
Nifafanulie ndugu yanguInategemea
Anajenga Mkoa Gani, Wilaya
Ramani Ya Nyumba Vyumba 20 Iko Wapi
Sasa Wataalam Watatumia Makadirio Gani Hujawapa Muongozo
Maeneo mengine material ni ghali sana hadi fundi ni wapi unafanya huo uwekezaji?Anajenga Mkoa Gani, Wilaya
Ramani Ya Nyumba Vyumba 20 Iko Wapi
Sasa Wataalam Watatumia Makadirio Gani Hujawapa Muongozo
wew una idea gan?Anataka kujenga dsm ni makadirio tu ndugu hajawa na ramani ila ukiwa mtaalamu wa ujenzi ukiambiwa tu vyumba 20 self contained ni lazima utakuwa na idea ya gharama
wew una idea gan?
Unatakiwa kuandaliwa ramani, baada ya hapo utaandaliwa estimates za materials yatakayohitajika, pamoja na ufundi.
Hauwezi kupewa makadirio ya gharama ikiwa hata ramani yenyewe hauna. Hiyo ramani ndiyo inatumika kufanya makadirio ya gharama!
Ni kazi unayotakiwa kuilipia. Ukiwa tayari nicheki PM.
Kiwanja anacho?je ni ghorofa au bungalowHabari zenu wana JF, nina ombi kwa walio na utalamu wa ujenzi, nina ndugu yangu yuko nje ya nchi amejikusanya amepata pesa kiasi anataka kujenga lodge ( guest house) ya vyumba 20 vyote self contained. kwa walio na uzoefu wa ujenzi ni kiasi gani cha pesa ambacho kinaweza kumaliza huo mradi?
Asanteni na karibu kwa maoni
Unazinguaaaa njoo na kazi, hata ukitaka ramani. njoo utapataMuhusika mkuu yuko nje ya nchi aliniambia tu wazo lake na akaniuliza ni kiasi gani ina cost but kwa kuwa siyo mzoefu ndo mana nikaja Kwenu. kama una experience na haya mambo just nipe tu idea the lowest na highest inaweza ika range kuanzia Tsh ngapi mpaka Tsh ngapi
Kiwanja anacho?je ni ghorofa au bungalow
Huyo si mtaalam. Huyo ni mbabaishaji. Atakisiaje gharama bila kujua eneo likoje (tambarare au muinuko), eneo lilipo ( linafikika kirahisi ?), huduma zilizopo ( maji yanapatikana?), aina ya udongo ( mchanga, ufinyanzi n.k.), huduma zitakazokuwepo ( kutakuwa na huduma ya chakula, ukumbi wa mkutano, huduma ya kufua nguo, baa n.k.). Aidha, ni ya ghorofa au ya chini?Anataka kujenga dsm ni makadirio tu ndugu hajawa na ramani ila ukiwa mtaalamu wa ujenzi ukiambiwa tu vyumba 20 self contained ni lazima utakuwa na idea ya gharama
Tafuta kiwanja kwanza,pia ujue kama ni ghorofa au nyumba ya chini utapata majibu kirahisiNdo niko kwenye hatua ya utaftaji wa kiwanja
karibu kwa wazo
Fanya pia utafiti wa aina ya hoteli itakayolipa. Hoteli sio vyumba vya kulala peke yake. Ila epuka upuuzi wa kutaka kuweka zoo katika eneo la hoteli.Ndo niko kwenye hatua ya utaftaji wa kiwanja
karibu kwa wazo
Aanze na utafiti kwanza wa aina ya wateja anaowalenga. Kama ni maafisa au madereva kutoka mikoani, parking salama ni muhimu sana kwao kwa hiyo kiwanja kitatakiwa kiwe kikubwa.Tafuta kiwanja kwanza,pia ujue kama ni ghorofa au nyumba ya chini utapata majibu kirahisi