EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
mimi pia sina uzoefuMi sina uzoefu wa ujenzi ndio mana nimekuja kwenu ndugu zangu ambao mna experience na haya mambo ya ujenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi pia sina uzoefuMi sina uzoefu wa ujenzi ndio mana nimekuja kwenu ndugu zangu ambao mna experience na haya mambo ya ujenzi
Anataka kujenga guest House, sio hoteli. Hivyo ni vitu viwili tofauti.Fanya pia utafiti wa aina ya hoteli itakayolipa. Hoteli sio vyumba vya kulala peke yake. Ila epuka upuuzi wa kutaka kuweka zoo katika eneo la hoteli.
Na ogopa hao wanaosema watakupa ramani za ujenzi maana wengi hawana taaluma ya ubunifu majengo. Utalizwa usipokuwa makini.
Amandla...
Asante kwa kunisahihisha. Nilisahau kuwa aliisha sema kuwa mpango ni kujenga gest. Lakini hata gest inahitaji matayarisho.Anataka kujenga guest House, sio hoteli. Hivyo ni vitu viwili tofauti.
Nadhani ndio maana hajawa na details nyingi. Maana guest house haina vipengele vingi (in terms of functional requirements) ukilinganisha na hotel.
Ni kweli. Nimemshauri aanze kwanza ñ design (michoro) ya hicho anachokitaka. Mambo mengine kama gharama, yataanza kudhihirika kuanzia hapo!Asante kwa kunisahihisha. Nilisahau kuwa aliisha sema kuwa mpango ni kujenga gest. Lakini hata gest inahitaji matayarisho.
Amandla...
Mchoro si unaongozwa na kiwanja? Hata kama ni gesti.Ni kweli. Nimemshauri aanze kwanza ñ design (michoro) ya hicho anachokitaka. Mambo mengine kama gharama, yataanza kudhihirika kuanzia hapo!
Million 600-700Habari zenu wana JF,
nina ombi kwa walio na utalamu wa ujenzi, nina ndugu yangu yuko nje ya nchi amejikusanya amepata pesa kiasi anataka kujenga lodge (guest house) ya vyumba 20 vyote self contained. kwa walio na uzoefu wa ujenzi ni kiasi gani cha pesa ambacho kinaweza kumaliza huo mradi?
Asanteni na karibu kwa maoni
Kila kitu kwa chumba self fanya 5m. Ukizidisha 5m x 20 = 100,000,000.00/= Ongeza 20% ya dharura. Jumla kuu ni Tshs 120,000,000.00Anataka kujenga DSM ni makadirio tu ndugu hajawa na ramani ila ukiwa mtaalamu wa ujenzi ukiambiwa tu vyumba 20 self contained ni lazima utakuwa na idea ya gharama
Binafsi nimekuelewa vizuri mnoKila kitu kwa chumba self fanya 5m. Ukizidisha 5m x 20 = 100,000,000.00/= Ongeza 20% ya dharura. Jumla kuu ni Tshs 120,000,000.00
Vyumba 20 Lazima iwe na floor mbili juu ndiyo itapendeza. Vyumba 20 kuweka vyote ground floor hicho ni kituo cha afya SIYO Lodge.Habari zenu wana JF,
nina ombi kwa walio na utalamu wa ujenzi, nina ndugu yangu yuko nje ya nchi amejikusanya amepata pesa kiasi anataka kujenga lodge (guest house) ya vyumba 20 vyote self contained. kwa walio na uzoefu wa ujenzi ni kiasi gani cha pesa ambacho kinaweza kumaliza huo mradi?
Asanteni na karibu kwa maoni
Vyumba 20 Lazima iwe na floor mbili juu ndiyo itapendeza. Vyumba 20 kuweka vyote ground floor hicho ni kituo cha afya SIYO Lodge.
Economy cost uwe na min.200mln.Habari zenu wana JF,
nina ombi kwa walio na utalamu wa ujenzi, nina ndugu yangu yuko nje ya nchi amejikusanya amepata pesa kiasi anataka kujenga lodge (guest house) ya vyumba 20 vyote self contained. kwa walio na uzoefu wa ujenzi ni kiasi gani cha pesa ambacho kinaweza kumaliza huo mradi?
Asanteni na karibu kwa maoni
Akiwa tayari nina kiwanja Kigamboni square meters 1700. Aje na Tsh.30 mil. namuuzia kitamtosha. (18000*1700=30,00,000) kujenga hiyo lodge.
vyumba ishirini hata ujenge bila ramani mjengo unapendeza tu ndani(jansen kakola )ipo imenyooka kama vyumba vya madarasa ila ndio sehemu bora kwangu kwa jinsi ilivyo hewa safi packing eneo kubwa la restaurant mbali kidogo na vyumba ..fanya kama kutenga kila chumba m10 kwa ramani yoyote utakayotaka isipokuwa gorofa.......huo upuuzi wa ndani na finishinga ya kawaida inaweza mfano tv,fridge ndogo...tails za kiwango cha kati na vyoo kitanda cha 1.5 na godoro dirisha na pazia zuri unaweza hata kuweka a/c uanavyogharamika kwa chumba ndio bei na hadhi inapanda ila unaweza kugharamika m3 kwa kila chumba na ujue bei ya hio guest itakuwa hivyo hivyo.....
Wabongo watakutisha na kukukatisha tamaa... Haijalishi anajenga wapi as long as anajenga lodge ambayo sio ghorofa haina mbwembwe za ukumbi au lounge... Trust me akiisimamia vizuri Million 100 inajenga vyumba self 15-20. Akae chini na Mtaalam wa ramani amwambie achole ramani vzuri. Mara nyingi uchaguz wa ramani ndio itakufanya utumie zaidi au chini ya budget yako...
inawezekana inategemea na finishing yako na unataka kiwaje maana tiels za kawaida chumba kikubwa ft 16 *16 laki tatu zinatosha sasa mbwembwe zinaweza laki 9 isitoshe hivyo hivyo juu na kuta hata dirisha alminiam kawiida dirisha la 5*6 laki 5 inatosha kabisa ila mbwembe 1.5 inaweza isitoshe....kuna jamaa ali niambia 5m inatosha kwa bajeti ya kila chumba. hii ni kweli?