Msaada wa gharama za ujenzi wa Gest ya Vyumba 20

Msaada wa gharama za ujenzi wa Gest ya Vyumba 20

simple chukua sqm za jengo lako zidisha mara 600,000 kwa jengo la kisasa
mfano chumba cha 3m kwa 3m kina sqm 9 so chumba kimoja kitagharimu 5,600,000 kwa 20 vyumba hapo kwenye 130,000,000
 
Huyo si mtaalam. Huyo ni mbabaishaji. Atakisiaje gharama bila kujua eneo likoje (tambarare au muinuko), eneo lilipo ( linafikika kirahisi ?), huduma zilizopo ( maji yanapatikana?), aina ya udongo ( mchanga, ufinyanzi n.k.), huduma zitakazokuwepo ( kutakuwa na huduma ya chakula, ukumbi wa mkutano, huduma ya kufua nguo, baa n.k.). Aidha, ni ya ghorofa au ya chini?

Wateja wanaotarajiwa ni wa tabaka lipi ( wale wa 20,000 au 200,000 kwa siku)? Mwambie ndugu yako atumie sehemu ya pesa zake kupata mtaalam atakayemfanyia feasibility study kuwa ni aina gani ya hoteli italipa, atafute kiwanja, halafu apate wataalamu watakaobuni muonekano na upangiliaji wa hoteli. Ila kama anataka kujenga loji......

Amandla....
Wewe km ni fundi, basi utakuwa ni fundi mzuri.
 
Back
Top Bottom