UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,530
- 1,370
Dah security kali mpaka wateja inatutesa alafu awana ata njia yakufany backup ilikurud kwny account yaoHzo free services hakuna support line. Unaweza tu post kwenye support thread zao na watakupa muongozo.
Ila kwa ninavyofamahamu ukipoteza backup keys za Google authenticator ndio basi tena. Huwezi tena pata access sababu hata Google wenyewe hawazioni hzo keys. Zipo encrypted.
Hii ndio sababu iliyonifanya niache kutumia Google authenticator. Natumia Microsoft Authenticator na Bitwarden. Bitwarden ndio ya uhakika sababu two factor authentication za app uliziongeza bado utakuwa na access nazo hata ukibadilisha simu.
Ni huduma ya kulipia? Kitu chochote cha kulipia unaweza ku chat nao, na waka kujibu papo hapo.
Ndio Inategemea unaitumia wapi sasa, kama unaitumia huduma ya kulipia watakusikiliza kama ni bure sahau.Hapana mkuu ni security yao 2-step verification nili delete account nikasahau na keys zangu watu wengi wana ilo tatizo nimekoma kutumia hii njia password moja inanitosh kwa sasa
Ni bure yn nutafute tu ID ya nida au mpiga kula ndio naweza saidiwaNdio Inategemea unaitumia wapi sasa, kama unaitumia huduma ya kulipia watakusikiliza kama ni bure sahau.
Mkuu jaribu bahati yako, ila kama ni service ya bure chance ya ku saidiwa ni ndogo.Ni bure yn nutafute tu ID ya nida au mpiga kula ndio naweza saidiwa