Msaada wa haraka, Battery ipo down

Msaada wa haraka, Battery ipo down

joss1973

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
405
Reaction score
102
Habari wakuu?

Nimeamua kuomba msaada wakuu, Betri yangu imebakia jiwe moja. Naomba msaada please wa dawa ya kucharge bettry yangu mpaka najickia vibaya sana.

Hivi kuna dawa yoyote ya asilia yenye uwezo mzuri bila kuleta madhara yoyote? Nni hasa kinasababisha bettry kuwa down hivi? Nini cha kufanya isiwe inashuka kiasi hiki? Stress inachangia hili tatizo?
 
Nenda pale Sinza mapambano kuna saluni moja ya kiume ,utapata tiba ya tatizo lako
 
Habari wakuu?

Nimeamua kuomba msaada wakuu, Betri yangu imebakia jiwe moja. Naomba msaada please wa dawa ya kucharge bettry yangu mpaka najickia vibaya sana.

Hivi kuna dawa yoyote ya asilia yenye uwezo mzuri bila kuleta madhara yoyote? Nni hasa kinasababisha bettry kuwa down hivi? Nini cha kufanya isiwe inashuka kiasi hiki? Stress inachangia hili tatizo?

Simu imekuwa kimeo, uza fasta
 
Back
Top Bottom