joss1973
JF-Expert Member
- Mar 18, 2010
- 405
- 102
Habari wakuu?
Nimeamua kuomba msaada wakuu, Betri yangu imebakia jiwe moja. Naomba msaada please wa dawa ya kucharge bettry yangu mpaka najickia vibaya sana.
Hivi kuna dawa yoyote ya asilia yenye uwezo mzuri bila kuleta madhara yoyote? Nni hasa kinasababisha bettry kuwa down hivi? Nini cha kufanya isiwe inashuka kiasi hiki? Stress inachangia hili tatizo?