Mdogo wangu wa kike anasumbuliwa sana na miguu kuuma hasa kuanzia kwenye magoti kushuka chini.
Cha kushangaza kabisa ni kwamba maumivu ni makali mpaka kwenye muscles na joints kiasi kwamba hata kutembea hawezi.
Tumejaribu kutumia dawa tulizopewa hospitali lkn hajapata walau nafuu.
Samahani kwa yeyote anayejua tiba atusaidie tafadhalini sana.