Msaada wa haraka, binti yangu anasumbuliwa na maumivu makali ya miguu

Naftari Erasto

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
108
Reaction score
50
Mdogo wangu wa kike anasumbuliwa sana na miguu kuuma hasa kuanzia kwenye magoti kushuka chini.

Cha kushangaza kabisa ni kwamba maumivu ni makali mpaka kwenye muscles na joints kiasi kwamba hata kutembea hawezi.

Tumejaribu kutumia dawa tulizopewa hospitali lkn hajapata walau nafuu.

Samahani kwa yeyote anayejua tiba atusaidie tafadhalini sana.
 
Naftari pole mkuu.

Kama Mdogo wako hajawahi kucheck HIV basi afanye hivyo haraka.

Kama atakuwa HIV negative basi ni vizuri kumwona bingwa wa mifupa.
 
Mdogo wangu wa kike anasumbuliwa sana na miguu kuuma hasa kuanzia kwenye magoti kushuka chini.

Cha kushangaza kabisa ni kwamba maumivu ni makali mpaka kwenye muscles na joints kiasi kwamba hata kutembea hawezi.

Tumejaribu kutumia dawa tulizopewa hospitali lkn hajapata walau nafuu.

Samahani kwa yeyote anayejua tiba atusaidie tafadhalini sana.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom