Msaada wa haraka: Dawa ya figo

Nilikuwa nakuheshimu sana ZeMarcopolo ila nimegundua wewe ni mtupu kabisa. Nakupuuzia na kukudharau rasmi kuanzia sasa hivi

Unanipuuzia na kunidharau kwa sababu sijakupa dawa ya figo au kwa sababu nimekwambia ukweli kuhusu swali lako la kichekibobu?

In the future unapouliza swali la kuhusu afya ya mtu specific basi usiwe mbiombio. Tulia utoe taarifa za msingi zitakazoweza kuwafanya wale wanaokusaidia kuona kuwa kweli unahitaji msaada.
Kumbuka kuwa ushauri humu unatolewa bure, ili mtu atoe ushauri inabidi awe na uhakika kuwa kweli ushauri unahitajika.

Ulipaswa kusema baba yako ana umri gani? ameumwa kwa muda gani? hospitali mmepewa options gani? ameshatumia dawa gani? hali yake kiujumla ikoje?

Ukishaandika hivyo then wachangiaji wanajua kama kuna kitu kimemiss kutoka pale ambapo umefanya jitihada, then wanajazilizia. Lakini ulichokifanya wewe ni uchekibobu kwa sababu unasema tu mzee anaumwa figo zimefail, halafu unasema umeshaenda hospitali lakini you dont bother kusema hospitali mmepewa options gani. Hayo ni matumizi mabaya ya jukwaa hili na ni dalili kwamba you dont take this jukwaa seriously...

Kuna hii thread imewekwa steaky hapo juu kwenye hili jukwaaa kwa ajili hiyo https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/382399-elimutiba-jinsi-ya-kujieleza-kwa-daktari.html
 
kama hujaona tatizo kwenye jinsi swali lilivyouliza basi sio kosa lako kwa sababu sio kila mtu ana uwezo wa kuona.

Fyi jinsi hili swali lilivyo hata mganga wa kienyeji hawezi kutoa msaada.

kubali umechemka tu, maana kama ulitaka ajieleze zaidi ungemuuliza, sasa umekuja hauna jibu au hata kaushauri ukaamua kutafuta njia ingine ili bado uonekane unajua.

Watu bwana sio kila mtu munamuandikishia vya ovyo basi tu.
 
kubali umechemka tu, maana kama ulitaka ajieleze zaidi ungemuuliza, sasa umekuja hauna jibu au hata kaushauri ukaamua kutafuta njia ingine ili bado uonekane unajua.

Watu bwana sio kila mtu munamuandikishia vya ovyo basi tu.

Kwahiyo yeye aliandika kichekibobu ili aulizwe?
 
Makoyo

Mzee wako ana umri gani? Na hilo tatizo limekuwa likidumu kwa muda gani? Kuna tatizo lolote la muda mrefu la kiagya alilonalo mf. Kisukari, ugonjwa wowote wa moyo, figo?
Vipi utumiaji wa dawa, ajali, unnywaji wake wa maji, uvutaji wa sigara na pombe?

Ni kwa vitu gani alipimwa wakakueleza/wakawaeleza hayo?
Na kwa sasa anatumia dawa gani, ni njia gani mbadala waliwashauri za mzee wako kupata tiba?
 
Last edited by a moderator:
Oooh my God...! Why u decide to write something like that!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Mgonjwa kaingia mitini. Hana muda wa kujibu maswali, yeye anataka tiba tu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…