Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuombea Kwa MUNGU amponye
Mungu hampe haueni
Cc: ZeMarcopolo
Habari zenu wana JF!
Ninahitaji msaada wenu tafadhali!
Mzee wangu anaumwa figo zote mbili! Hospitali wamemuambia kuwa figo zote zina matatizo, zimefeli.
Je, anaweza kupata dawa?
Hii ni serious kabisa jamani.
Msaada.
Mbarikiwe
haikuwa lazima u-comment, acha upumbavu........
Uliza hukohuko hospitali
Mkuu mbona taarifa yako imekaa kichekibobu? Yaani hospitali wamekwambia figo zimefail lakini hamjajadiliana kuhusu next step?
Nadhani hili jukwaa halitendewi haki na baadhi ya watumiaji.
haikuwa lazima u-comment, acha upumbavu
u-chekibobu huko wapi? kama mnakuwa hamna cha kuandika kwanini msipite tu
Nilikuwa nakuheshimu sana ZeMarcopolo ila nimegundua wewe ni mtupu kabisa. Nakupuuzia na kukudharau rasmi kuanzia sasa hiviWewe hili jukwaa halikufai. Uchekibobu umekuzidi na unaonekana hujui unachohitaji.
Asante kwa ushauri ndugu Sharifa du PontPole na tatizo la mzee wenu samahani ukweli ni kwamba figo haina dawa zikifeli ni kubadilisha tu nakuonea huruma sababu hata mie limesha tutokea tatizo kama hilo tukampoteza kaka yetu mpendwa jitahidini aende India au sehemu yoyote akapandikizwe figo jingine na wana ndugu muwe tayari kumtolea figo moja.Mungu awape nguvu katika hili:target:
kuweni makini msidanganywe hakuna dawa mtapoteza hela bure.
Ndugu papason, asante nimeongea na ndugu wanaomuuguza Dar, wakinitumia nayaweka hapaMkuu Makoyo!
Leta results za maabara ( creatinnine, urea, urine osmolality-ph-sodium-protein etc), ili kujua figo za mzee zimeumia kwa kiasi gani, baada ya hapo waungwana tutakushauri nini cha kufanya!
Sawa Bi. mimi49, nitawashirikisha ndugu pia. Asante naweFuata ushauri wa Sharifa du Pont..
Wewe hili jukwaa halikufai. Uchekibobu umekuzidi na unaonekana hujui unachohitaji.
Mbona sijaona kosa katika uulizaji wake, ni kawaida kwa watu wengi kuuliza maswali haya kama mtu anaweza suggest tiba au step ingine.
Haujamtendea haki kwa ulivyomjibu humu, kama hukutaka kujibu basi ungepotelezea na kuto andika kitu.
Hii kitu ya sijui u chekibob unini unahusiana vipi na baba yake kuugua. Mnasikitisha sana watu kama nyie mnaopenda kutafuta watu wakoje na ndio mujibu sio lazima hata kama umekuwa cc'd na hutaki saidia au HAUJUI jibu kaa kimya nasema tena ungepotelezea.
Sasa aandike daktari kasema hivi vile itasaidia nini wakati hata sie wengine tunaendaga kwenye mitandao kupata idea na majibu mengine hata kama daktari amesema hivi au vile.
Ndugu yangu mleta mmada mie sio mjuzi tjugh natoka familia yenye madaktari wengi na kuna mabingwas wa hiki na kile. Nakushauri google pia ukiwa na muda utaweza jua.
Pole sana, kuwa mvumilivu na omba Mungu atamsaidia na kuwafungulia njia apate matibabu.