Msaada wa haraka diff ya noah inatoa mlio wa ajabu

Msaada wa haraka diff ya noah inatoa mlio wa ajabu

shushushu VIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
4,799
Reaction score
4,312
habari wakuu

nipo dodoma naomba msaada kwa wajuzi nina gari aina ya toyota noah ,kwa sasa diff yake imeanza kutoa mlio fulan ingawa sio mkubwa sasa naomba msaada wa ushaur nini chaweza kuwa tatizo na je diff mpya bei gan
 
Mpya hamna chief hiyo utapata used kutoka Japan au Dubai,bei zinagonga 300,000/= ila bei yake inapungua nadhani.ukihitaji useme nikupe number za jamaa ucheck nae.
 
Mpya hamna chief hiyo utapata used kutoka Japan au Dubai,bei zinagonga 300,000/= ila bei yake inapungua nadhani.ukihitaji useme nikupe number za jamaa ucheck nae.
poa poa mkuu nikihitaji kama itakuwa haiwez kurekebishwa nitakutafuta
 
poa poa mkuu nikihitaji kama itakuwa haiwez kurekebishwa nitakutafuta
Pia nina idea ya ufundi kidogo,nakushauri kama fundi akakupigia gharama za kuitengeneza zikafikia 120,000/= ni bora mara mia ukaacha ukakusanya cent ukapata nyengine.diff mle ndani huwa mnakuwa na meno meno ambayo yakichanguka,kuingia mchanga au kukosa kiwango cha oil kinachotakiwa ndipo diff hukorofisha.sasa case yako ipo hapo kwenye kuchanguka meno maana itabidi fundi aifungue aoshe kama ni mchanga so atapoirudisha haitakaa sawa muda tena tatizo litarudi na atakutaka utoe kiasi cha pesa kidogo tena na bado tatizo litaendelea baada ya muda mfupi hivyo utakuta gharama uliyotumia ungeongeza kiasi kidogo cha pesa ungepata nyengine nzuri.
 
habari wakuu

nipo dodoma naomba msaada kwa wajuzi nina gari aina ya toyota noah ,kwa sasa diff yake imeanza kutoa mlio fulan ingawa sio mkubwa sasa naomba msaada wa ushaur nini chaweza kuwa tatizo na je diff mpya bei gan
Check bering utakuta zimeshaanza kusagika
 
tafuta difu ya mark 2 ndio suluhisho broo
Au atafute diff ya liteace pick up. Nazo zinatumia engine kama ya Noah, 3S, in that sense hata differential zinafanana.
 
Back
Top Bottom