Mimi huwa siwaruhusu kabisa waguse injini wakati wa kuosha yaani hata bonnet siwaruhusu kufungua .Wakati mwingine ukitaka kuosha injini ni bora utumie upepo badala ya maji.
Wale waoshaji siyo mafundi wa magari hawafahamu vizuri mahusiano ya injini ya gari na maji na umeme wa gari na maji. Wakati mwingine unawezakuta terminal za battery zimeloa zikasababisha kutu.
Waswahili wanaosha magari ili yatakate kama mtu huu ujinga sijui wataacha lini!
fikiria mtu unaondoa greese kwenye boal joint hivi una akili kweli? kwenye engine , bettry ni mimaji ya pressure kwa kwenda mbele week tu gari limechoka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.