Msaada wa haraka gear box ya Nissan Vannete

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Mafundi wa gear box auto, naomba msaada wenu wa ki ufundi gari hii ilikuwa nzima na inabadilisha gia vizuri tu, tatizo limekuja pale ilipoguaa kwenye sampo hapo ndipo shida ilipoanza, kidupi ni kwamba sasa hivi gia namba moja inaingia lkn kutoka moja kwenda 2 gari inajifunga breki naikiingia inaingia kwa nguvu na 2 kwenda 3 nishida ile ile lkn ikidika tatu nne inaingia bila shida, sasa hapo tatizo litakuwa ni nini?

NB: Gia ili iingie hadi gari inajifunga breki kwa hiyo inabidi ukanyage sana eksleta ili ifosi gia iingie
 
Iko hivyo kwa ndani
20210629_203051.jpg
20210629_203002.jpg
 
Sijui ni injini gani lkn ni ile ile ya gari yenyewe ni ya petrol
Nimechek engine ni Z20 nilikuwa naoanisha na engine nilio nayo ya nissan na gearbox yake! Zimepishana kidogo yangu ni QG18 DE na gearbox yake naiuza!
 
Mafundi wa gear box auto, naomba msaada wenu wa ki ufundi gari hii ilikuwa nzima na inabadilisha gia vizuri tu, tatizo limekuja pale ilipoguaa kwenye sampo hapo ndipo shida ilipoanza, kidupi ni kwamba sasa hivi gia namba moja inaingia lkn kutoka moja kwenda 2 gari inajifunga breki naikiingia inaingia kwa nguvu na 2 kwenda 3 nishida ile ile lkn ikidika tatu nne inaingia bila shida, sasa hapo tatizo litakuwa ni nini?

Nb gia ili iingie hadi gari inajifunga breki kwa hiyo inabidi ukanyage sana eksleta ili ifosi gia iingie
Nissan🤔🤔🤔🤔🤔
 
Mafundi wa gear box auto, naomba msaada wenu wa ki ufundi gari hii ilikuwa nzima na inabadilisha gia vizuri tu, tatizo limekuja pale ilipoguaa kwenye sampo hapo ndipo shida ilipoanza, kidupi ni kwamba sasa hivi gia namba moja inaingia lkn kutoka moja kwenda 2 gari inajifunga breki naikiingia inaingia kwa nguvu na 2 kwenda 3 nishida ile ile lkn ikidika tatu nne inaingia bila shida, sasa hapo tatizo litakuwa ni nini?

NB: Gia ili iingie hadi gari inajifunga breki kwa hiyo inabidi ukanyage sana eksleta ili ifosi gia iingie

Hii shida mbona kama siyo ya umeme hivi?

Nicheck 0621 221 606
 
Ukikutana na nissan kimeo linakuwa kimeo kwelikweli...
Jana kuna jamaa alikuwa anahangaika na nissan Almera imechomoka ball joints alafu gari yenyewe namba DVX bado mbichi Ila imeshaoza chini
 
Hii shida mbona kama siyo ya umeme hivi?

Nicheck 0621 221 606
Aante na shukuru wale wote mlioshiriki katika kujibu haja ya swali langu lakini mpaka hapo tayari nime solve tatizo langu na sasa garoi iko vizuri isipokuwa ile taa ambayo huwa inawaka wakati unapoweka over drive off kwa sasa inawaka kwa ku brenk breank .
 
tuelezee kwa undani tatizo lilikua nini na ume solve vipi? utakua umetusaidia sana mkuu
 
Aante na shukuru wale wote mlioshiriki katika kujibu haja ya swali langu lakini mpaka hapo tayari nime solve tatizo langu na sasa garoi iko vizuri isipokuwa ile taa ambayo huwa inawaka wakati unapoweka over drive off kwa sasa inawaka kwa ku brenk breank .

Gearbox bado tatizo. Taa ya Overdrive kublink ni kama taa ya check engine kuwaka kwa upande wa engine.

Tena ni tatizo la umeme.
 
Back
Top Bottom