teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Mafundi wa gear box auto, naomba msaada wenu wa ki ufundi gari hii ilikuwa nzima na inabadilisha gia vizuri tu, tatizo limekuja pale ilipoguaa kwenye sampo hapo ndipo shida ilipoanza, kidupi ni kwamba sasa hivi gia namba moja inaingia lkn kutoka moja kwenda 2 gari inajifunga breki naikiingia inaingia kwa nguvu na 2 kwenda 3 nishida ile ile lkn ikidika tatu nne inaingia bila shida, sasa hapo tatizo litakuwa ni nini?
NB: Gia ili iingie hadi gari inajifunga breki kwa hiyo inabidi ukanyage sana eksleta ili ifosi gia iingie
NB: Gia ili iingie hadi gari inajifunga breki kwa hiyo inabidi ukanyage sana eksleta ili ifosi gia iingie