teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Sijui ni injini gani lkn ni ile ile ya gari yenyewe ni ya petrolHahahah hio nissan vanette inatumia engine gani?
Nimechek engine ni Z20 nilikuwa naoanisha na engine nilio nayo ya nissan na gearbox yake! Zimepishana kidogo yangu ni QG18 DE na gearbox yake naiuza!Sijui ni injini gani lkn ni ile ile ya gari yenyewe ni ya petrol
Nissan🤔🤔🤔🤔🤔Mafundi wa gear box auto, naomba msaada wenu wa ki ufundi gari hii ilikuwa nzima na inabadilisha gia vizuri tu, tatizo limekuja pale ilipoguaa kwenye sampo hapo ndipo shida ilipoanza, kidupi ni kwamba sasa hivi gia namba moja inaingia lkn kutoka moja kwenda 2 gari inajifunga breki naikiingia inaingia kwa nguvu na 2 kwenda 3 nishida ile ile lkn ikidika tatu nne inaingia bila shida, sasa hapo tatizo litakuwa ni nini?
Nb gia ili iingie hadi gari inajifunga breki kwa hiyo inabidi ukanyage sana eksleta ili ifosi gia iingie
Mafundi wa gear box auto, naomba msaada wenu wa ki ufundi gari hii ilikuwa nzima na inabadilisha gia vizuri tu, tatizo limekuja pale ilipoguaa kwenye sampo hapo ndipo shida ilipoanza, kidupi ni kwamba sasa hivi gia namba moja inaingia lkn kutoka moja kwenda 2 gari inajifunga breki naikiingia inaingia kwa nguvu na 2 kwenda 3 nishida ile ile lkn ikidika tatu nne inaingia bila shida, sasa hapo tatizo litakuwa ni nini?
NB: Gia ili iingie hadi gari inajifunga breki kwa hiyo inabidi ukanyage sana eksleta ili ifosi gia iingie
Aante na shukuru wale wote mlioshiriki katika kujibu haja ya swali langu lakini mpaka hapo tayari nime solve tatizo langu na sasa garoi iko vizuri isipokuwa ile taa ambayo huwa inawaka wakati unapoweka over drive off kwa sasa inawaka kwa ku brenk breank .Hii shida mbona kama siyo ya umeme hivi?
Nicheck 0621 221 606
Aante na shukuru wale wote mlioshiriki katika kujibu haja ya swali langu lakini mpaka hapo tayari nime solve tatizo langu na sasa garoi iko vizuri isipokuwa ile taa ambayo huwa inawaka wakati unapoweka over drive off kwa sasa inawaka kwa ku brenk breank .
Aante na shukuru wale wote mlioshiriki katika kujibu haja ya swali langu lakini mpaka hapo tayari nime solve tatizo langu na sasa garoi iko vizuri isipokuwa ile taa ambayo huwa inawaka wakati unapoweka over drive off kwa sasa inawaka kwa ku brenk breank .