Msaada wa haraka hapa unahitajika ndugu zangu

Msaada wa haraka hapa unahitajika ndugu zangu

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
200
Naomba kujua nianzie wapi msaada tafadhali. Kuna kijana mmoja na mzee mmoja wamenitapeli pesa ambayo nilikuwa nawapa kwa ajili ya kilimo. Kuna baadhi ya pesa tulipeana kimaandishi na zingine hamna maandishi. Na hao watu wote sifahamiani nao kwa karibu. Sasa wamenitapeli kwa hiyo natafuta msaada wa kuwatrace kwa simu zao za mkononi
Je kuna uwezekano wa kuwakamata kupitia namba zao za simu mana bado hawajazima nawasiliana nao lakini wanaelekea kustuka sasa. Msaada wenu wana JF tafadhali
 
Pole Nenda kituo cha police ukaripot hilo tukio wao wanavitengo vinavyo husika na mambo ya cyber wanaweza kutrace simu zao na kujua wako wapi. Jaribu kuwa makini wakati mwingine matapeli ni wengi
 
Pole Nenda kituo cha police ukaripot hilo tukio wao wanavitengo vinavyo husika na mambo ya cyber wanaweza kutrace simu zao na kujua wako wapi. Jaribu kuwa makini wakati mwingine matapeli ni wengi
Asante kwa ushauri. Ni kweli yani wakati mwingine inatokea tu japo mtu unakuwa makini
 
Back
Top Bottom