natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu! Jamani naomba kama una habari kuhusu shule moja inayoitwa TUKUYU niambie ipo wapi katika hii TANZANIA YETU TUKUFU! Binamu yangu kapelekwa huko ila hajapata join instruction mpaka sasa!
Kama upo dar nenda Landmark hotel au S.H amon ulizia mtu yeyote ambaye anatoka tukuyu au ndugu wa sauli atakupa mwongozo jinsi ya kupata contact za mwl.
Kama upo dar nenda Landmark hotel au S.H amon ulizia mtu yeyote ambaye anatoka tukuyu au ndugu wa sauli atakupa mwongozo jinsi ya kupata contact za mwl.