Msaada wa haraka jamani kuhusu ilipo hii shule!

Msaada wa haraka jamani kuhusu ilipo hii shule!

Twaa

Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
46
Reaction score
10
natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu! Jamani naomba kama una habari kuhusu shule moja inayoitwa TUKUYU niambie ipo wapi katika hii TANZANIA YETU TUKUFU! Binamu yangu kapelekwa huko ila hajapata join instruction mpaka sasa!
 
Nenda mbeya ukifika mwanjelwa uliza magari ya kwenda tukuyu kwa kina Sauli then mwambie konda akushushe shule ya tukuyu sekondari
 
Nashukuru sana mkuu! Je unaweza nipatia angalau hata contact za mwl wa hapo!?
 
Nashukuru sana mkuu! Je unaweza nipatia angalau hata contact za mwl wa hapo!?

Kama upo dar nenda Landmark hotel au S.H amon ulizia mtu yeyote ambaye anatoka tukuyu au ndugu wa sauli atakupa mwongozo jinsi ya kupata contact za mwl.
 
Kama upo dar nenda Landmark hotel au S.H amon ulizia mtu yeyote ambaye anatoka tukuyu au ndugu wa sauli atakupa mwongozo jinsi ya kupata contact za mwl.

Aisee mimi nipo Moshi, sijui ntafanyaje!
 
Back
Top Bottom