Msaada wa haraka jikoni mbuzi wa baba mkwe

Msaada wa haraka jikoni mbuzi wa baba mkwe

mama ulicho kiandika umekiandika kwa ufundi... nenda kanyonge supu zitoke tena zile nyeupeee... kweli mbuzi kafia kwa muuza supu hahahahahahah... [HASHTAG]#Avatar[/HASHTAG] yako ina nipa raha zaidi plus hii supu... na kibwebwe ulichofunga mamaa...
ahahaaa acha ujinga fumbo gani jamani?
 
hiyo supu ni ya nyama kawaida au utumbo?

fanya mixer ya kichwa, kanyagio, ulimi, shingo, moyo na utumbo, weka njegere, hoho, karoti, vitunguu na mafuta, chemshaaaa.

hiyo supu ni balaa


MAFUTA?????????
 
Pale unapomuomba Kamanda bujibuji kukusaidia kupika halafu yeye hata supu hajawahi kupika
 
Back
Top Bottom