MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa
Nilimtongoza miss natafutailikuwaje mkuu
Nilimtongoza miss natafuta
Hahahahaaaa, we jamaa chiz kwel. Sasa unamtongoza hapa hapa si umfuate pm.Njoo nikutongoze tupigwe ban.
Njoo pm kuna jambo linanizingua sanaNimeitoa huko kwenye group.
MAPISHI YA SUPU YA MBUZI
Mahitaji:
Nyama ya mbuzi
Vitunguu maji vikubwa 2, vikate
hoho 1 kubwa, ikate vipande vidogo kiasi
njegere kikombe 1 cha chai, karot 1 kubwa ikate kate,
ngogwe/ nyanya chungu3 waweza kuzikata mara 2 au ukaziweka nzima
pilipili mbuzi 2 usizikate
viazi ulaya/mviringo 2 au ndizi 3 Vimenye osha vizuri kwa maji safi Na uvikate vipande 2
Chumvi kijiko kimoja cha kula
Maji yakuchemsha 1ltr
Matayarisho
Kata kata nyama yako
Osha vizuri Na maji safi
Iweke kwenye sufuria tia maji kiasi
Bandika nyama yako jikoni ifunike vizuri kwa dk 15
Weka viungo vyako vyote ulivyokuwa umevianda na ambavyo tayari ulikwisha vikatakata vipande
Kama supu yako itakuwa imepungua ongeza maji ya moto kiasi kulingana Na kiasi cha supu yako unayohitaji. Anagalia maji yasiwe mengi kupita kiasi. Funika kwa dk15
Epua supu yako tayari kwa kuliwa Na. Chapati, madazi au mkate [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
mmh! shoga yangu mie najua tu kupika chakula cha asili MAKANDE hahahahahaahh