Mujumba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 853
- 306
KUNA SHIRIKA MOJA LA MOJA UMMA NIMEFANYA NALO INTERVIEW SASA WAMENIITA KUWA NIRIPOTI KAZINI NA MSHAHARA WANGU UTAKUWA NI PGSS 10 lakini hawajataja kiasi pse unaweza jua PGSS 10 ni kama ni sh ngapi za kitanzania?? nauliza kwasababu kuna kampuni nyingine nayo imeniita inataka kunipa mshahara wa sh 780000 kwa mwezi so nipo dillema wandugu naombeni ushauri juu ya amount ya PGSS 10 ni sh ngapi??