ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 448
- 729
Jamani wanaJamiiForums,
Jamani tusaidiane ipi ni tiles bora zaidi ya nyingine kutokana na brand hapo juu. Maana kuna mafundi wawili tofauti wote kwa maelezo yao waliniambia kampuni fulan katiya hizo tajwa hapo juu,tiles size zinapishana hivyo huwafanya waonekane wao mafundi wabovu.
Jumamos hii nimepanga kuingia dukani hapa Jijini Dodoma ili kununua na ninaogopa kuingia chaka. Nyumba yenyewe kubwa halafu nimeijenga kwa tabu sana, ntaumia sn nikiingia chaka wandugu, ina 258 SQM za sakafuni tu.
Na hizi ndio zinanipa mawazo, hela zenyewe zilivyo za kuunga unga