high IQ man
Member
- Nov 4, 2021
- 59
- 69
Shukrani mkuupole, cha kukushauri tu, okoa pesa na muda, achana nayo
jipange ununue nyingine
kibegi cha mgongoni hua tunapakata au kuweka chini baina ya miguu, muda wote wa safariShukrani mkuu
Nimepata somo asee, nilikua nimezoea naweka kwenye carrier juukibegi cha mgongoni hua tunapakata au kuweka chini baina ya miguu, muda wote wa safari
🥺🥺 Watanzania tunarudisha nyuma sana kimaendeleoNimeishia hapo “ kwenye carrier” ,alooo abiria chunga mzigo wako!
Mimi muda wote naipakata mapajani na nikishuka nashuka nayo.Tafuta hela ununue nyingine; Next time ukisafiri PC ipakate kwenye mapaja ukishuka hotelini begi mkononi.
Yaani unalala usingizi wakati mkanda wa begi umeuzungushia kwenye mikono.Mkuu hatuwekag beg la laptop Kwenye keria halafu unalala usingizi, lala usingizi begi lako umelipakatia tena huo usingizi wa kufumba jicho moja
Kwanini bado hatutunzi mali zetu kwenye hizi public transport, kwa nn hatujifunzi? Kwenye bus unamwamini nani?Wakuu za jioni, nilikua nasafiri kutoka kigoma kuja Dodoma na bus la AN Classic...
Huyo ni mjinga sana.Pole sana. Ndiyo umeshaibiwa hivyo. Huna namna nyingine ya kufanya.