Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

Umeibiwa kizembe sana !!! Laptop ni ya kukaa nayo na sio kuiweka lwenye carrier.....
 
Duh, pole sana Mkuu, yaani nikijaribu kuvaa viatu vyako mpaka mwili unasisimka maana ni juzi tu nilihisi nimepoteza Camera, mwili wote ukalegea na mshtuko juu mara nikakumbuka kuwa nilihamishia kwenye mfuko mwingine.

Natamani kama kungekuwa na namna uipate lakini duh, Mwizi naye anatekeleza maagizo ya Kiongozi wake Bw Shetani a.k.a lucifer.

Ila kwa uzoefu mabasi mengi ya Arusha Dar wanatoa tangazo mapema kutokuweka begi lenye Laptop kwenye carrier, sasa siju basi hilo kwa nini hawafanyi hivyo.
shukrani mkuu, ngoja nijipange upya
 
Back
Top Bottom