Chanjo mnazi mmoja wamenambia niende ijumaa shida yangu ni kwamba jee nikishachoma naweza kuondoka j3 maana nasikia tetesi kwamba lazima ukae siku kumi baada ya chanjo ndio uweze kusafiri?Kachome chanjo, bongo kila kitu kinawezekana au umeingia Dasalam leo?
Sawa mkuu shukran sana nimekuelewaUna options 2 hapo....
1. Kachome kikweli kweli na wala haitakuwa shida sijui kusubiri siku 10 sijui ngapi. Kwanza hata huwa wanasoma unadhani? Wanaangalia tu kikadi cha njano ukikishika tu wanakwambia pita! Na hata wakisoma wakaona siku 10 bado, yanazungumzika kabisa hayo
2. Nenda mnazi mmoja na hela yako tu utachagua hata ukitaka igongwe muhuli kuwa umechoma hiyo sindano 1973 watakugongea tu achilia mbali siku 10
Ume ongea ki safari safari 👍🏻👍🏻Una options 2 hapo....
1. Kachome kikweli kweli na wala haitakuwa shida sijui kusubiri siku 10 sijui ngapi. Kwanza hata huwa wanasoma unadhani? Wanaangalia tu kikadi cha njano ukikishika tu wanakwambia pita! Na hata wakisoma wakaona siku 10 bado, yanazungumzika kabisa hayo
2. Nenda mnazi mmoja na hela yako tu utachagua hata ukitaka igongwe muhuli kuwa umechoma hiyo sindano 1973 watakugongea tu achilia mbali siku 10
aisee👿 nakazia hapa asiwe mchoyo hela inaongea!!Una options 2 hapo....
1. Kachome kikweli kweli na wala haitakuwa shida sijui kusubiri siku 10 sijui ngapi. Kwanza hata huwa wanasoma unadhani? Wanaangalia tu kikadi cha njano ukikishika tu wanakwambia pita! Na hata wakisoma wakaona siku 10 bado, yanazungumzika kabisa hayo
2. Nenda mnazi mmoja na hela yako tu utachagua hata ukitaka igongwe muhuli kuwa umechoma hiyo sindano 1973 watakugongea tu achilia mbali siku 10
Kiongozi ghrama za kuchoma hiyo vaccine ni sh ngapiChanjo mnazi mmoja wamenambia niende ijumaa shida yangu ni kwamba jee nikishachoma naweza kuondoka j3 maana nasikia tetesi kwamba lazima ukae siku kumi baada ya chanjo ndio uweze kusafiri?