Msaada wa haraka kuhusu employment contract

Msaada wa haraka kuhusu employment contract

Kilimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
777
Reaction score
194
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni tafsiri sahihi ya kifungu hiki cha sheria kilichopo ktk mkataba wa ajira wa mdogo wangu.

Governing Law

'It is the intention of the parties to this agreement that this Agreement and the performance under this Agreement, and all suits and special proceedings under this Agreement, be construed in accordance with and under pursuant to the laws of Tanzania and that, in any action, special proceeding or other proceeding that may be brought arising out of, in connection with, or by reason of this Agreement, the laws of Tanzania shall be applicable and shall govern to the exclusion of the law of any other forum, without regard to the jurisdiction in which any action or special proceeding may be instituted'.

Lakini miye nimeelewa kuwa: kama ikitokea matatizo kulingana na makubaliano ktk mkataba huu, sheria za za jamhuri ya Tanzania zitahusika ktk usuluhishi
.

Naombeni mnisaidie maana halisi ya hicho kifungu hapo juu.

Asanteni.
 
upo sahihi, bila kujali mgogoro umetokea katika jurisdiction gani, sheria za tanzania ndiyo zitatumika kutatua mgogoro husika...its very clear!
 
Mkataba pamoja na matokeo yake (mgogoro, tafsiri, n.k) yote vitasimamiwa na sheria za Tanzania.
 
upo sahihi, bila kujali mgogoro umetokea katika jurisdiction gani, sheria za tanzania ndiyo zitatumika kutatua mgogoro husika...its very clear!


Pamoja sana!
 
Back
Top Bottom