Ahsante sana kwa ushauri naitwe je nikienda mahakamani lazima na yeye aitwe?hilo kosa ni ushahidi tosha kufany marriage kuvunjika bila marekebisho ambayo ipo katik section 107(2) of law of marriage act so ww nenda mahakam ya mwanzo kaomb talak yako kwa kosa la kuitelekekez familia kutokan na kosa hilo
Ahsante sana kwa ushauri naitwe je nikienda mahakamani lazima na yeye aitwe?
Ndio tulifunga ndoa kanisani na cheti kipo, tuliishi miaka kama miwili na ushee, hakuna Mali yoyote tuliyovuna Mimi na yeye, lengo lamimi kutaka talaka ni kuwa alinitelekeza kwa zaidi ya miaka 6 sasa nasijuhi alipo aliniacha na mimba ya mwezi mmoja nahajageuka nyuma tena, ila nasikia yupo na ameshaoa tena harusi kabisa ila sijuhi anapoishi wala maisha yake siyajui wala yeye hajui yangu, nataka talaka ili niwe huru Mimi bado mdogo ninawezapata tatizo likaja kwenye dosari ya ndoa.JE ULIFUNGA NDOA NA HUYU MWANAMME? JE UNA CHETI CHA NDOA? JE LENGO LAKO LA KUOMBA TALAKA NI NINI? JE KUNA MALI MMECHUMA WOTE? je uliishi na huyo mwanamme kwa muda gani? Naomba unipe jibu ili nikupe ushauri wa kisheria
Ndio tulifunga ndoa kanisani na cheti kipo, tuliishi miaka kama miwili na ushee, hakuna Mali yoyote tuliyovuna Mimi na yeye, lengo lamimi kutaka talaka ni kuwa alinitelekeza kwa zaidi ya miaka 6 sasa nasijuhi alipo aliniacha na mimba ya mwezi mmoja nahajageuka nyuma tena, ila nasikia yupo na ameshaoa tena harusi kabisa ila sijuhi anapoishi wala maisha yake siyajui wala yeye hajui yangu, nataka talaka ili niwe huru Mimi bado mdogo ninawezapata tatizo likaja kwenye dosari ya ndoa.
Ndoa ya kanisani haivunjwi.
inayovunjwa ni ipi?
Ndoa ya kanisani haivunjwi.
Ndoa ya kanisani haivunjwi.
Ndoa ya kanisani haivunjwi.