Loly
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 522
- 221
Ukiwa mwanaume amekutelekeza zaidi ya miaka sits aliniacha na mimba ya mwezi hajawahi kugeuja wala hamjui mwanae hadi Leo na Mimi sijawahi kumfuatilia japo nasikia yupo hapa hapa town naameshaoaoa zaidi ya Mara 2.
Msaada ninaohitaji nichukue hata gani ili tupeane talaka ili namimi niwe huru sasa kuchagua nimpendae? Je kuna madhara yoyote ya baadae labda kama tusipopeana talaka?
Please wanasheria nisaidieni
Msaada ninaohitaji nichukue hata gani ili tupeane talaka ili namimi niwe huru sasa kuchagua nimpendae? Je kuna madhara yoyote ya baadae labda kama tusipopeana talaka?
Please wanasheria nisaidieni