Msaada wa haraka kuhusu ugonjwa huu wa bata

Vifaranga wa wakiwa wadogo watenge either pekee Yao au na mama yao then wape starter,vitamin na glucose mpk wakishabadilika manyoya ndo unaweza watoa nnje

Kwa mahitaj ya vifaranga vya bata bukin, mallard, jumbo perkin na khaki

Wanapatikana chanika kwa singa
Call 0746696878













 
Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje?

Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa.

MSAADA WA HARAKA WA USHAURI UNAHITAJIKA.

Ninawaomba sana wana JF
Kanunue iron haraka,iko kama sukari hivi
 
Inapatikana wapi?Naweza kuipata duka la dawa za mifugo?Inatumikaje?
Kanunue iron haraka,iko kama sukari hivi

Maduka ya madawa na vyakula vya mifugo unapata.Mimi walikuwa hawawezi kusimama lakini waliimarika ndani ya siku tatu
Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi awamu ya pili kwani hadi sasa vifaranga wangu wote wamekufa
 
Bata wa kawaida anaatamia/analalia siku ngapi boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…