Kwa kawaida ni barua ambayo inaandikwa na mtu anayekufahamu, kama vile mwajiri wako, mwalimu wako, mkuu wako kazini n.k.Mfano unaweza kwenda kwa lecturer aliyekufundisha akakuandikia.Hiyo barua ina nguvu maana inatoa picha kwa haraka haraka juu ya weledi wako, juu ya kile ulichoomba.Kama nitakuwa nimeacha mengine, wengine watamalizia.Kila la kheri