Msaada wa haraka kwa kamanda wenu hapa jamani!

Msaada wa haraka kwa kamanda wenu hapa jamani!

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Please! Kuna post flani nimetuma wameniambia niambatanishe two recomendation letters,now guys what are those letters?
Wakuu nisaidieni kamanda wenu niweze kuwawakilisha,ili na mie nipunguze jam huku
 
Kwa kawaida ni barua ambayo inaandikwa na mtu anayekufahamu, kama vile mwajiri wako, mwalimu wako, mkuu wako kazini n.k.Mfano unaweza kwenda kwa lecturer aliyekufundisha akakuandikia.Hiyo barua ina nguvu maana inatoa picha kwa haraka haraka juu ya weledi wako, juu ya kile ulichoomba.Kama nitakuwa nimeacha mengine, wengine watamalizia.Kila la kheri
 
Ukiwaambia hao watu niliowataja hapo juu, kwamba naomba uniandikie recommendation letter, na kumuonesha juu ya kile ulichoomba au kumpa maelezo mafupi ya lengo lako, watakuandikia, wanaelewa.
 
Thanx sana mkuu,kuna NGO's flani hivi managing director ni mzungu ndo kanambia niatachi hizo barua.
 
Back
Top Bottom