Wewe umepatwa na ugonjwa uitwao Psychic diarrhea.Umesha wahi kumuona ng'ombe akipelekwa mnadani au machinjioni wanavyo harisha? basi hiyo condition ndiyo na wewe imekupata. Chakufanya Kunywa vidonge 2 vya septrine (cotrimoxazole) tu hiyo hali within 30 minutes huta harisha. Pia beba kwa dharula vidonge vingine 2 vya septrine wakati unaendelea na hicho kikao chako. FANYA SASA HIVI KAMA HIZO DAWA ZINGINE ULIZOSHAURIWA HAUJAZIMEZA. Septrine ni dawa nzuri kwa kuzuia kuharisha kwa watu wenye Psychic diarrhea. Pole sana. Ukitaka maelekezo mengine ya kupunguza hiyo stress sema tukusaidie ila ni PM.