Msaada wa haraka, mama amebambikiwa kesi

Msaada wa haraka, mama amebambikiwa kesi

we ----- nini? mtu ana matatizo we badu unauliza maswali ya ajabu..wangekuwa na wakili angeomba msaada wa kisheria hapa JF?
wewe msaada gani uliotoa? bora mimi nilieuliza kuhusu wakili, wewe ulichoandika hapa kitamfaha nini mtoa mada? fikiri kabla ya kuandika.
 
1. Amefunguliwa kesi ya aina gani? Jinai au madai

2. Kosa na kifungu cha sheria?
3. Kesi ipo mahakama gani-hii nauliza kwa sababu mahakama za mwanzo hawaingii mawakili
4. Naomba maelezo ya kosa'
Tuendelee kuanzia hapo
 
Ndio maana shinyanga maamuzi macho mekundu 🙂_@®||the akhera.uchawi fanyeni ibada utamrudia uchawi wake
 
wewe msaada gani uliotoa? bora mimi nilieuliza kuhusu wakili, wewe ulichoandika hapa kitamfaha nini mtoa mada? fikiri kabla ya kuandika.

bora we uliyeuliza?..kwa akili yako unaona kuuliza pointless questions ni kutoa msaada sio? fikiria kabla ya kuandika pumba
 
Labda niulize tu. Kama nyumba ziliuzwa kupitia mahakamani, na kipengele cha "mimi fulani nauza nyumba zangu kadhaa kwa fulani... kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu yoyote" kimekubaliwa na muhuri wa mahakama ukapita ukithibitishwa na wakili. Sasa hapo kesi ya nini.
 
bora we uliyeuliza?..kwa akili yako unaona kuuliza pointless questions ni kutoa msaada sio? fikiria kabla ya kuandika pumba
acha kiedemswede, swali hujaulizwa wewe, nini chakuwasha?:biggrin:
punguza stressssssssssssssssssssssssss.... sio unakurupuka na kudandia train kwa mbele, utakufa siku si zako.
 
acha kiedemswede, swali hujaulizwa wewe, nini chakuwasha?:biggrin:
punguza stressssssssssssssssssssssssss.... sio unakurupuka na kudandia train kwa mbele, utakufa siku si zako.

Kwa bahati nzuri (mbaya kwako) mi ni mpenzi wa reggae na country..kidoogo Blues na Old skul R&B......lakini for the sake of reference: hiyo mistari uliyoandiak iko kwenye wimbo gani wa taarabu?

Thanks
 
Hii sio assignment kweli? mbona mtoa mada hajamjibu huyo ngirimaji hapo juu?
 
Kwa bahati nzuri (mbaya kwako) mi ni mpenzi wa reggae na country..kidoogo Blues na Old skul R&B......lakini for the sake of reference: hiyo mistari uliyoandiak iko kwenye wimbo gani wa taarabu?

Thanks
Nani kakuuliza? na umejuaje kuwa taarabu uwa na maneno hayo? acha kujipendekeza... sihitaji kukufahamu... go to helllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll:wave::wave:
 
Nani kakuuliza? na umejuaje kuwa taarabu uwa na maneno hayo? acha kujipendekeza... sihitaji kukufahamu... go to helllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll:wave::wave:

your lack of identity means you dont even know who you are..huwezi kunifahamu wakati we mwenyewe hujielewi baby
 
poleni sana,naamini utapaya msaada hapa,hata kutpata Wakili atayejitolea kuwatetea......lkn mwisho wa yote haya mambo ya kimila YESU ndo jibu

Wana JF mimi na familia yangu tunaitaji msaada wenu kisheria juu ya kesi inayo mkabili mama yetu.

Kuna mambo ya mila ambayo yalisababisha sisi tuwe mbali na bibi yetu mzaa mama, yaani tulimpenda kama bibi ila tulikuwa hatushirikiani nae kwalolote

Siku moja bibi alikuja nyumbani wakayasuluhisha tulimpokea tukaishi nae nyumbani, bibi yetu ana nyumba sita hapa mjini ila sisi kutokana na kutoelewana sana na bibi mama hakupenda kwenda kuishi kwenye nyumba za bibi

Kutokana na mapatano yetu na bibi hatimae tulianza kuishi na bibi nyumbani kwetu tulipo panga, bibi yetu ana watoto sita 6 ambapo mama yetu ndio wa kwanza.

Kutokana na hali ngumu ya maisha aliyotukuta nayo bibi pale nyumbani aliamua kumwambia mama kuwa yupo tayari kuuza nyumba zake 2 ili aweze kutusaidia, mama alikubaliana nae.

Mama akatafuta mnunuaji wa zile nyumba ambazo bibi alilizia kuziuza zile nyumba ziliuzwa milioni 50, bibi alienda mahakamani ili kukamilisha mauziano ambapo alikiri kukubari kuuza nyumba zake na mama yetu ndie mrithi wake ambapo yeye mama yetu alisimama kama shahidi.

Nyumba ziliuzwa kisha bibi akamwambia mama anunue kiwanja ajenge nyumba, mama alifanya kama alivyoagizwa huku bibi akimsisitiza kuwa hati zote za hii nyumba mpya aandike majina yake {mama aandike majina yake} ili wajomba zetu na mama zetu wadogo wasije kuhusika kwenye hiyo nyumba mpya.

Baada ya zile fedha kutumika kwenye ujenzi na matumizi mengine ya pale nyumbani, zilibakia kiasi kidogo kama milioni 8 ivi.

Siku moja bibi alimuita mama akamwambia nimekupa kila unachokita mwanangu naomba uwe mrithi wa huu mfuko wangu wa UCHAWI, mama alikataa kata kata hapo ndio ugomvi baina ya mama na bibi ulipo rudi upya.

Bibi aliondoka nyumbani akaenda kwa wanae wengine ambao hawakuhusishwa kwenye mauzo ya zile nyumba mbili, akawaambia kuwa mama yetu kamshawishi kuuza nyumba bila idhini yake.

Wakashirikiana wamefungua kesi ambayo inamuendesha sana mama angu.

Kwa yeyote atakaeguswa na hili tatizo tafadhali tunaomba msaada wa sheria kwani mama alilala mahabusu akafikishwa mahakamani tukamtolea zamana mahakama iliamua kuwa mama arudishe zile fedha milion 50 ambazo matumizi yote yalikuwa yanatoka kwa idhini ya bibi.
 
Back
Top Bottom