Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjambo
Nipo maeneo ya Mbezi beach naombeni msaada kwa mujibu wa kichwa Cha habari.
Mashine yangu ya kidigitali ya kupimia mapigo ya moyo imeharibika Baada ya kudondoka chini na hivyo haisomeki vizuri.
Wapi napata fundi wa haraka na aliye mjuzi?
Nina mgonjwa nyumbani ambaye ni Mama mzazi
Aksante