Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
PharmacyUlinunulia wapi kwani?
Ova
Nenda nayo pharmacy uliponunulia wanaweza kukusaidia. Pole kwa kuuguza mamaPharmacy
Pamoja na comments za kukushauri ununue nyingine, nakushauri achana na digital maana huwa zinapotosha. Mashine nzuri ya kupima pressure ni ile ya kupampu kwa mikono (ya kizamani). Zipo madukani na ukifundishwa utaweza kuwa unampima mgonjwa mwenyeweWadau hamjambo
Nipo maeneo ya Mbezi beach naombeni msaada kwa mujibu wa kichwa Cha habari.
Mashine yangu ya kidigitali ya kupimia mapigo ya moyo imeharibika Baada ya kudondoka chini na hivyo haisomeki vizuri.
Wapi napata fundi wa haraka na aliye mjuzi?
Nina mgonjwa nyumbani ambaye ni Mama mzazi
Aksante
OvaPamoja na comments za kukushauri ununue nyingine, nakushauri achana na digital maana huwa zinapotosha. Mashine nzuri ya kupima pressure ni ile ya kupampu kwa mikono (ya kizamani). Zipo madukani na ukifundishwa utaweza kuwa unampima mgonjwa mwenyewe
Warudishie pale watakupa maelekezoPharmacy
sio simple kama unavyofikiriaaaPamoja na comments za kukushauri ununue nyingine, nakushauri achana na digital maana huwa zinapotosha. Mashine nzuri ya kupima pressure ni ile ya kupampu kwa mikono (ya kizamani). Zipo madukani na ukifundishwa utaweza kuwa unampima mgonjwa mwenyewe