DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sahii kabisaNikwelj wazazi wetu walidumu kwenye ndoa kwasababu walikuwa awana vikundi vikundi walikuwa muda mwingi wapo kwenye familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahii kabisaNikwelj wazazi wetu walidumu kwenye ndoa kwasababu walikuwa awana vikundi vikundi walikuwa muda mwingi wapo kwenye familia
Huna mke hapo. Wewe usihangaike nae we fanya tu kama DeepPond alivomfanya mama G enzi hizoWakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.
Naenda kuelezea...
Tumegombana na mkewangu usiku wa jana na akasema leo ndio mwisho wa ndoa yetu anaenda kufatilia nimpe talaka tuachane.
Kisa cha ugomvi ni kutoka kwenye biashara yetu tulipata rosi tukiwa wote kibandani tulipata wateja wa vifaa vya shule tukawauzia katka kuwafungia mzigo wife akawazidishia vyenye samani ya sh.50000/=.
Kwakua sikuwakalili vizuri rakn shule wanayosomea hao wateja naijua na vifaa kama mabegi ya mgongoni ikabidi jana j3 asubuhi nijaribu bahati yangu niende shule kufatilia rakn sikufanikiwa nikarudi nyumbani.
Badae Jioni saa kumi sikuepo kibandani nikapigiwa simu na mkewangu ananiambia wale watu tuliowazidishia mzgo amewaona na ameongea nao wamesema watarudisha ikabidi niende haraka kazini.
Nafika namuuliza wanasomea shule gani na wamekupa majina yao na wanaishi maeneo gani, Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu , jibu nililojibiwa naambiwa ooh ningejua nisinge kuambia maana maswali yamekua mengi.
Akasema ameshawakalili nikamwambia wasipoleta atafatilia kwakua yeye ameshawakalili akasema hawezi hata kwa dawa, nkamwambia wife hii hela tunayotafuta sio kwa manufaa yangu binafsi kwanini unashindwa kunielewa Kanuna kaenda nyumbani.
Nmefka nyumbani hajapika saa3 watoto wamelala njaa aseee nilipiga vibao nikamlazimisha kupika Tukala hakula yeye akasema lazma hii kesi tuachane et tugawane kila kitu kumekucha asubuhi ananiomba nauri aende kwetu et akawaeleze ili afatilie swala la talaka tugawane mali.
Nimemwambia sikupi nauli kuchezea hela kwamaana sioni kosa la kuachana we kaa tulia haelewi, Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana, shemeji yenu nimezaa nae watoto wawili miaka 3_5.
Nisiwachoshe.
Exalioth yuda
jf_geita
Njoo usome mrejeshoHuna mke hapo. Wewe usihangaike nae we fanya tu kama DeepPond alivomfanya mama G enzi hizo
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Uko wapi mrejesho mkuu sioni mbonaNjoo usome mrejesho
Pole sana mkuuWakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.
Naenda kuelezea...
Tumegombana na mkewangu usiku wa jana na akasema leo ndio mwisho wa ndoa yetu anaenda kufatilia nimpe talaka tuachane.
Kisa cha ugomvi ni kutoka kwenye biashara yetu tulipata rosi tukiwa wote kibandani tulipata wateja wa vifaa vya shule tukawauzia katka kuwafungia mzigo wife akawazidishia vyenye samani ya sh.50000/=.
Kwakua sikuwakalili vizuri rakn shule wanayosomea hao wateja naijua na vifaa kama mabegi ya mgongoni ikabidi jana j3 asubuhi nijaribu bahati yangu niende shule kufatilia rakn sikufanikiwa nikarudi nyumbani.
Badae Jioni saa kumi sikuepo kibandani nikapigiwa simu na mkewangu ananiambia wale watu tuliowazidishia mzgo amewaona na ameongea nao wamesema watarudisha ikabidi niende haraka kazini.
Nafika namuuliza wanasomea shule gani na wamekupa majina yao na wanaishi maeneo gani, Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu , jibu nililojibiwa naambiwa ooh ningejua nisinge kuambia maana maswali yamekua mengi.
Akasema ameshawakalili nikamwambia wasipoleta atafatilia kwakua yeye ameshawakalili akasema hawezi hata kwa dawa, nkamwambia wife hii hela tunayotafuta sio kwa manufaa yangu binafsi kwanini unashindwa kunielewa Kanuna kaenda nyumbani.
Nmefka nyumbani hajapika saa3 watoto wamelala njaa aseee nilipiga vibao nikamlazimisha kupika Tukala hakula yeye akasema lazma hii kesi tuachane et tugawane kila kitu kumekucha asubuhi ananiomba nauri aende kwetu et akawaeleze ili afatilie swala la talaka tugawane mali.
Nimemwambia sikupi nauli kuchezea hela kwamaana sioni kosa la kuachana we kaa tulia haelewi, Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana, shemeji yenu nimezaa nae watoto wawili miaka 3_5.
Nisiwachoshe.
Exalioth yuda
jf_geita
MkuuWakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.

Rosi=LossMkuu kumradhi
Samani- thamani
Rakini- Lakini
Nauri - Nauli
Ushauri , mwanamke kama hakutaki ataonyesha tu kwanini uchague mmoja kati ya 4 billions.
we ungemnyandua sawasawa asb hiyoWakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.

we
Nisiwachoshe.
Exalioth yuda
jf_geita