Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Huna mke hapo. Wewe usihangaike nae we fanya tu kama DeepPond alivomfanya mama G enzi hizo

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kama hana ujauzito basi mkeo anakiburi na kuna msukumo wa mtu nyuma yake shituka

N.b ukiona mwanamke kabadilika basi jua ameshaliwa huyoooooo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu
 
Mkuu
Ni baraka sana kumpata mke anayekimbilia talaka kwa sababu za kijinga kama hizo. Mungu anakuepushia kifo cha haraka.

Mpe talaka kisha ishi maisha yako mkuu. Hawana mioyo hao
 
we ungemnyandua sawasawa asb hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…