Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Hii hata mm nimeipenda nitaihifadhiWakuu nawashukuru nimejaribu mlivyonishauri imesaidia sana. Ni mtoto wa miaka mitatu(ke). Nilikuwa narudi kazini nikakuta kijana wa kazi anamhangaikia bila mafanikio. Bahati bibi mmoja jirani alikuja na ngoma ndogo akaipasha moto kidogo akamkandamiza kiasi akatoa mashuzi ambayo hajawahi kutoa. Ndipo akaenda haja na asubuhi hii ameamka salama. Nawashukuru wakuu kwa miongozo yenu
kwanza mpeleke hospitali;asilishwe mpaka ashibe sana awe na kipimo;changanya papai na chungwa ale ;au maji ya uvuguvugu;inategemea umri wa mtoto;ukiweza pata alovera plus ya gnld inafaaa