Msaada wa haraka mtoto amevimbiwa sana

Msaada wa haraka mtoto amevimbiwa sana

Mtoto wa umri gani?
Hebu muogeshe maji ya uvuguvugu digestion iweze kufanyika haraka mwilini.
 
kwanza mpeleke hospitali;asilishwe mpaka ashibe sana awe na kipimo;changanya papai na chungwa ale ;au maji ya uvuguvugu;inategemea umri wa mtoto;ukiweza pata alovera plus ya gnld inafaaa
 
Wakuu nawashukuru nimejaribu mlivyonishauri imesaidia sana. Ni mtoto wa miaka mitatu(ke). Nilikuwa narudi kazini nikakuta kijana wa kazi anamhangaikia bila mafanikio. Bahati bibi mmoja jirani alikuja na ngoma ndogo akaipasha moto kidogo akamkandamiza kiasi akatoa mashuzi ambayo hajawahi kutoa. Ndipo akaenda haja na asubuhi hii ameamka salama. Nawashukuru wakuu kwa miongozo yenu
 
Hii hata mm nimeipenda nitaihifadhi
Kupasha moto ngoma au ngozi yeyote na kumkandamizia tumboni, hiki kitendo ni cha kweli kwani kunasababisha gesi kutoka

  • mm najua gilasi ya maji ya uvuguvugu baada ya kutumbukiza kaa la moto anakunywa hapohapo huondoa vitu vingi tumboni hata kojo kuwasha
 
kwanza mpeleke hospitali;asilishwe mpaka ashibe sana awe na kipimo;changanya papai na chungwa ale ;au maji ya uvuguvugu;inategemea umri wa mtoto;ukiweza pata alovera plus ya gnld inafaaa

mtoto kavimbiwa mnamuongezea tena vyakula, ushauri mkalishe kwenye poti anye
 
Back
Top Bottom