Msaada wa haraka:Mwanangu kaungua moto!

Msaada wa haraka:Mwanangu kaungua moto!

shaks001

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,246
Reaction score
1,070
Naomba msaada wa dawa ya kuponyesha vidonda vya kuungua moto na kuondoa makovu kwa mtoto wangu kaungua moto.Amekalia chungu cha moto.
 
Yupo moshi na walichelewa kumpaka asali.
 
Tafuta mafuta ya bunduki umpake kila siku atapona mimi nimeyatumia
 
Back
Top Bottom