Rabbi asante
Member
- Sep 11, 2020
- 22
- 21
Wana Jamii forums elimu heshima
Naomba msaada, ninapoingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira, nimekutana na changamoto zifuatazo na nimeshindwa kufanya chochote, email already exist Mara account already exist nimeshindwa kufanya chochote nisaidie jamani mwaka Jana niliomba lakini sikubahatisha
Asante