Wana Jamii forums elimu heshima,,,,,,naomba msaada ,,,,ninapo ingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira ,,,nimekutana na changamoto ,,zifuatazo na nimeshidwa kufanya chochote,,,,, email,, already exist,,Mara account already exist,,,,nimeshidwa kufanya chochote,,,,nisaidie ,, jamani,,,,mwaka Jana niliomba lkn ,,sikupahatisha,,, Asante