Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za mchana waungwana.
Naombeni kujuzwa kuhusu western union..
Kuna ndugu yangu amepokea fedha kupitia western union na ni mara yake ya kwanza, sasa kwenye taarifa aliyopewa kuna maelezo yanasema atoe kiasi cha $109 kama first transaction disbusement.
Ivi ndo inavyokuwaga au tumekosea kuelewa maelekezoo? Naombeni msaada tafadhali...
Maana naskia mtumaji fedha ndio hukatwa na si mpokeaji..
Nawasilisha
Hi,Vipi kuhusu tracking fees... naona wametoa maelezo ya tracking fee na wakatoa link ili kama nataka kujua hela zangu ziko wapi nitumie hiyo link lakini nalipia...
vp hili lipogo?????
ushajibiwa labda kama una swali la nyongeza.mimi ni mtumiaji mkuu wa western union pia
Vipi kuhusu tracking fees... naona wametoa maelezo ya tracking fee na wakatoa link ili kama nataka kujua hela zangu ziko wapi nitumie hiyo link lakini nalipia...
vp hili lipogo?????
Mbona hatujawai tangaziwa kua wewe n mtumiaji mkuu?
Haro watu wa western union ni wezi wakubwa wengine tuliamua kuachana nao miaka mingi iliyopita tangu na baada ya september ieleven wakati walipoanza kudhulumu pesa za waislam kwa kisingizio cha ugaidi,yaani wewe siku zile jina lako likiwa ni la kiislam na anayepokea ni muislam basi ujue hela yako ilikuwa inazuiliwa kwa kutumia sababu za ugaidi wengi wamedhulumiwa kwa njia hiyo na tena charge zao za kutuma ni kubwa mno na kama huyo mtu anayetuma pesa yuko sehemu yeyote north America,siku hizi kuna kitu inaitwa money gram unaweza kutuma kwa kupitia post office yeyote ile ,hawa wako rahisi kama moja mbili tatu,na pia service charges zao ni rahisi mno kama ukilinganisha na wezi western union. Mr.Murage Msherwampamba.
kama unasubiri kutangaziwa utasubiri milele,hakuna tangazo la hivyo
Ha ha nafikiri lugha sahihi ungesema wewe ni mtumiaji mkubwa ungeleta utulivu Wa pragmatiki but kusema wewe ndo mtumaji mkuu ina maana sisi wote tunaotuma PESA kwa western union wewe ndo unatuongoza je ni kweli?
Ni kweli wewe ndiye mtumaji mkuu Wa PESA kupitia western union? Unatuma kiasi gani,? Kwa vigezo vipi mpaka kujiita mtumaji mkuu?
mimi natuma zaidi na kupokea zaidi
Mara ya kwanza kusikia hii tuhuma. Mkuu umewahi kuwasilisha malalamiko yako WU? That is truly a shocker. Nimetumia huduma hii kwa zaidi ya 10 yrs and is one of the safest.
[/QUOTE Watu wengi sana wamelizwa na hao WU tangu post 911 huo mchezo ukaanza na inasemekana kuwa Western union ni mali pia ni faster and ya aliyekuwa secretary of state wa marekani Mr James Bakerambaye ndiye architector wa both Iraq Wars. Kwa kuwa salama zaidi tumia money grams hao wako salama sana.
mimi natuma zaidi na kupokea zaidi
Vipi kuhusu tracking fees... naona wametoa maelezo ya tracking fee na wakatoa link ili kama nataka kujua hela zangu ziko wapi nitumie hiyo link lakini nalipia...
vp hili lipogo?????
ushajibiwa labda kama una swali la nyongeza.mimi ni mtumiaji mkuu wa western union pia[/QUOTEHabari
Naomba kujua kama kuna uhitaji wa kitambulisho chochote wakat was kuchukua pesa west union make mmi nimekwamishwa sina kitambulisho na Nina details zote za kujaza kweny form