M minagirl JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 269 Reaction score 35 Jul 20, 2013 #2 Pole sana ndugu yangu. Nakushaur hospital kwani hizo ni dalili za PID. Ni ugonjwa mbaya sana. Unaweza ukakusababishia ugumba.
Pole sana ndugu yangu. Nakushaur hospital kwani hizo ni dalili za PID. Ni ugonjwa mbaya sana. Unaweza ukakusababishia ugumba.
B biee JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 332 Reaction score 116 Jul 20, 2013 Thread starter #3 PID ndo ugonnjwa gan? Hospitali nimekwenda sana na niliambiwa kuwa ni fungus. Nimetumia dawa nyingi sana bila mafanikio jaman
PID ndo ugonnjwa gan? Hospitali nimekwenda sana na niliambiwa kuwa ni fungus. Nimetumia dawa nyingi sana bila mafanikio jaman