Msaada wa haraka tafadhali

Msaada wa haraka tafadhali

"Mchawi mpe mtoto amlee"...

Be strong.. mkaribishe nyumbani..pika chakula wote watatu mle na uzungumzie hiyo topic.. uzungumzie majukumu ya Baba na majaribu ya baba kutoka kwa mafisadi ya mapenzi..
ushauri umevuka vidato huu.
 
Back
Top Bottom