Msaada wa haraka tafadhari

Msaada wa haraka tafadhari

Joined
Dec 1, 2012
Posts
53
Reaction score
2
Mimi nina tatizo la ugonjwa wa miguu inauma kwenye muscles na kwenye joint karibu na kiuno ni maumivu yanayovuta yanayonifanya nishindwe hata kutembea coz naumia nikitembea muda mrefu.naombeni msaada coz naona kama vile maji yamefika shingoni.

Embarrassed
 
Mimi nina tatizo la ugonjwa wa miguu inauma kwenye muscles na kwenye joint karibu na kiuno ni maumivu yanayovuta yanayonifanya nishindwe hata kutembea coz naumia nikitembea muda mrefu.naombeni msaada coz naona kama vile maji yamefika shingoni.:embarrassed1:

mkuu umewahi kwenda hospital?
 
MziziMkavu atakuja kukusaidia mzee. Hang on.
Pole kwa maumivu yote.
Mungu atakuponya nayo ukimtumainia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jitahidi uende hospitali inayoeleweka kwa uchunguzi mzuri....daktari atapata na good history ....umri...ulishapata ajali..kuumia kichwa...nk...ni vzuri uende hosp inayoeleweka...
 
Back
Top Bottom