VALENCE MUGANDA
Member
- Dec 1, 2012
- 53
- 2
Mimi nina tatizo la ugonjwa wa miguu inauma kwenye muscles na kwenye joint karibu na kiuno ni maumivu yanayovuta yanayonifanya nishindwe hata kutembea coz naumia nikitembea muda mrefu.naombeni msaada coz naona kama vile maji yamefika shingoni.
Embarrassed
Embarrassed