Msaada wa haraka (tcu tcu)

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
Rafiki yangu mwanzo alifanya application ya Tcu na katika kujiregister alijiregister kama Applicant with Holders of foreign certificate.. wakati yeye amemaliza form six mwaka huu hapa hapa Tanzania... alinunua voucher mpya leo na tukaregister upya as a Form Six,,, Tatizo linakuja baada ya kulogout imeshindikana kulogin upya,, inaandika ,,login fail,, tumejaribu kureset pasword,, but the problem is still there... Msaada unahitajika wa haraka as leo ndo DEADLINE
Together we can make,,
 
If you are facing problem in login ,please confirm your form 4 Index Number,email address, mobile number and the voucher number that you have used when you registered. (YOU DO NOT NEED TO BUY A NEW VOUCHER,YOU JUST NEED TO RE-ENTER YOUR VOUCHER NUMBER THAT YOU HAVE USED DURING REGISTRATION).​
[TABLE="width: 382, align: center"]
[TR]
[TH="width: 229, align: left"]Username (eg.s0000/0000/1900) [/TH]
[TH="width: 176, align: left"] *[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Email Address [/TD]
[TD] *[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mobile Number [/TD]
[TD] *[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Voucher Number [/TD]
[TD] *[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]New Password [/TD]
[TD] *[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Confirm New Password[/TD]
[TD] *[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Recover my Password
[/TD]
[TD="align: right"]Close
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
wameongeza siku had tarehe 30 mwezi wa 7
source; mwananchi ya jana
 
Msidanganyike mwisho leo saa 5 usiku, wameongea leo asubuh watu wa tcu kwenye kipindi cha jambo-tbc one
 
Msidanganyike mwisho leo saa 5 usiku, wameongea leo asubuh watu wa tcu kwenye kipindi cha jambo-tbc one

kaka me mwenyewe ndo nackia kwakee! Vp hawajasema lin first year wanaanza masomo oct au january
 
Sijasikia kuhusu mabadiliko ya kuanza chuo, kama kuna mabadiliko watasema, japo sidhani kama kuna mabadiliko
 

hii kitu tulishajaribu kuifanya nayo pia ili goma,, Nashukuru kwa ushauri,, I feel sorry for him by passing through this hard time. hapa ni kusubiri tu,, ntamshauri awapigie simu.. hope watamsaidia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…